Poly-Booster

Mbolea yenye virutubisho vingi kwa ajili ya ukuaji na maendeleo ya mimea. Pia ni mbolea inayoyeyuka kwenye maji, rahisi kutumika kwa kunyunyizia kwenye majani na udongo.

Viambato amilifu:
N:P:K 21:21:21

Mazao:
Mboga mboga, machungwa, ngano, alizeti, matikiti, nyanya, vitunguu, karoti, ufuta, korosho, chai, kahawa na mazao mengine.

Matumizi:
Gramu 40–50 kwa lita 20 za maji

Kiwango cha matumizi:
Kilo 1.5–6 kwa hekta