ABANIL18EC
Dawa yenye ufanisi mkubwa dhidi ya aina zote za utitiri buibui, funza wa majani, vidukari, chawa wa majani na wadudu wengine kwenye mazao mbalimbali.
Viambato amilifu:
Abamectin 1.8%
Mazao:
Nyanya, pilipili, maharage, viazi, beet, kabichi, matango/maboga, machungwa na mazao mengine.
Matumizi:
Mililita 12 kwa lita 20 za maji
Kiwango cha matumizi:
Mililita 300 kwa hekta



