2, 4-D, AMINE 720SL
Dawa ya kuua magugu inayotumika baada ya kuota, yenye uwezo wa kuingia ndani ya mmea, kwa ajili ya udhibiti wa magugu yenye majani mapana katika hatua zote za ukuaji wa mmea. Ina uwezo mkubwa dhidi ya mimea mingi yenye majani mapana, hasa jamii ya brassica, figili, turnip, haradali na mengineyo. Pia huathiri mimea yenye vitunguu-shina kama vile cape tulip.
Viambato amilifu:
2,4-D Amine 72%
Mazao:
Mahindi, mpunga, miwa, ngano, barli, shayiri, rai, triticale, mtama, mtama mdogo (millet), malisho na mashamba yasiyolimwa.
Matumizi:
Mililita 150–300 kwa lita 20 za maji
Kiwango cha matumizi:
Lita 1 kwa hekta
Wadudu/magonjwa /magugu lengwa:
Magugu yenye majani mapana



