MULTI BOOSTER
Mbolea yenye uwezo mkubwa wa kuzuia na kutatua upungufu wa virutubisho kwenye mazao yote. Hutumika kwa kunyunyizia majani au kumwagilia udongoni, na hutoa matokeo mazuri ndani ya muda mfupi.
Viambato amilifu:s
NPK 12:5:5, 0.01% Zn, 0.01% Mn, 0.01% Mo
Mazao:
Mboga mboga, machungwa, korosho, zabibu, mpunga, mahindi, matikiti, nyanya, alizeti na mazao mengine.
Matumizi:
Mililita 60–80 kwa lita 20 za maji



