MAX-MORE
Mbolea yenye virutubisho vingi kwa ajili ya ukuaji wa mmea, machipukizi, maua, matunda na mazao mengine. Ni mbolea inayoyeyuka, inayoweza kutumika kwa kunyunyizia majani au kumwagilia udongoni.
Viambato amilifu:
N:P:K 10:5:40 + TE
Mazao:
Mboga mboga, machungwa, korosho, zabibu, mpunga, mahindi, matikiti, nyanya, alizeti na mazao mengine.
Matumizi:
Gramu 50–70 kwa lita 20 za maji
Kiwango cha matumizi:
Kilo 2–7 kwa hekta



