KUKUTA 300 OD

Dawa teule ya kuua magugu, yenye uwezo wa kuingia ndani ya mmea, kwa ajili ya udhibiti wa magugu yenye majani mapana na membamba kwenye mahindi. Tumia wakati mmea wa mahindi una majani 3–5 huku magugu ya msimu yakiwa na majani 2–4.

Viambato amilifu:
Atrazine 200 g/L, Mesotrione 70 g/L + Nicosulfuron

Mazao:
Mahindi

Matumizi:
Mililita 100–160 kwa lita 20 za maji

Kiwango cha matumizi:
Mililita 2500 kwa hekta