DKO 30e

Kihifadhi cha nje chenye kuendana na mazingira, kinachotumika kudhibiti mchwa na wadudu wengine waharibifu kwenye mbao na magogo.

Viambato amilifu:
Anacardic acid, Cardanol, Cadol & others (purely organic)

Mazao:
Mbao, magogo, majengo

Matumizi:
DKO iko tayari kutumika, au changanya mililita 200 za mafuta ya taa au thinner na lita 1 ya DKO-30e. Tumia brashi yenye ncha ya nailoni kupaka DKO-30e.

Wadudu/magonjwa /magugu lengwa:
Mchwa na wadudu wengine waharibifu wa mbao