V- RID
V-RID® ni dawa ya kuua vimelea yenye wigo mpana inayosaidia kudhibiti virusi, bakteria, fangasi, mwani (algae) na mycoplasma.
Inafaa kwa matumizi katika mabanda ya kufugia, mazizi ya mifugo, mashambani, pamoja na vifaa vya kulishia, kunyweshea na mashine mbalimbali.
Viambato amilifu:
Glutaraldehyde + Coco Benzyl-Dimethyl Ammonium Chloride
Matumizi:
Kwa usafishaji wa kila siku:
Changanya 50 ml ya V-RID kwa lita 20 za maji.
Kwa kusafisha na kuua vimelea kwenye vifaa vya chakula na maji:
Changanya 15 ml kwa lita 15 za maji.
Kwa kunyunyizia/kupulizia hewani ili kudhibiti vimelea:
Tumia 15 ml kwa lita 30 za maji.
Vifungashio:
50 ml | 100 ml | 250 ml | 500 ml | 1 L | 5 L | 20 L



